BIBLIA Takatifu Toleo la Iringa (UVDC052IR)

(2 customer reviews)

Sh30,000

BIBLIA hii Takatifu Toleo la Iringa ina jumla ya Vitabu 73. Vitabu 27 vya Agano la Jipya na Vitabu 46 vya Agano la Kale.

Hii ni tafsiri mpya ya ya Neno la Mungu katika lugha ya Kiswahili cha kisasa, ukilinganisha na Biblia za zamani zenye Kiswahili cha Kimvita na Kiunguja.

Tafsiri hii ya Biblia ya Kiswahili ni ile iliyotolewa na Tabora: T.M.P Book Department, 1967 Tanzania. Toleo hili la Biblia Takatifu limetayarishwa na: Familia ya Maamkio Mapanda Parokia ya Usokami. SLP 796 IRINGA TANZANIA.

ISBN 978-9966-27-714-5

Swahili Bible (Biblia Takatifu) UVDC052IR

2 reviews for BIBLIA Takatifu Toleo la Iringa (UVDC052IR)

 1. Joyce Mwita

  Tumsifu Yesu Kristu! Nafanyaje kupakua biblia hii kwenye simu yangu? Kila nikijaribu nashindwa

  • Edward Sandet

   Milele Amina
   Bibilia Hii sii ya kupakua ili uitumie kwenye simu. Ni nakala Ngumu, kama utahitaji naweza kukutumia popote ulipo kama ni Tanzania.

 2. Joyce Mwita

  Sawa nashukuru. Nyumbani ninayo sema tu nilitamani niwe nayo kwenye simu.

Add a review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like…