ATLASI KWA SHULE ZA MSINGI TANZANIA
Sh25,000
ATLASI KWA SHULE ZA MSINGI TANZANIA ni kitabu chenye Ramani mbalimbali za eneo, kama vile Wilaya, Mikoa, Nchi, bara na dunia. Katika Atlasi hii, tunaona ramani za shule, Vijiji, Wilaya, Mikoa nchi yetu Tanzania. Africa Mashariki, Afrika na Dunia. Kadhalika, katika Atlasi hii kuna mafunzo na mazoezi mbalimbali kuhusu masomo ya Jiografia, Uraia, Historia, Sayansi, Lugha, Stadi za Kazi na Hisabati ambayo yatawanufaisha walimu na wanafunzi wa shule za Msingi
Reviews
There are no reviews yet.