JIFUNZE HISABATI
Sh3,000
Na B. D. Buberwa
JIFUNZE HISABATI DARASA LA PILI: ni kwa ajili ya kufundisha mwanafunzi wa shule za msingi darasa la Pili.
Kinamsaidia mwanafunzi kufikia malengo ya KUSOMA na KUANDIKA NAMBA pia kuweza kufanya MAHESABU kwa kuzingatia kanuni za KIHESABU.
Kitabu hiki kitamsaidia sana mtoto kuelewa na kupenda somo la HISABATI . Kwani kimetungwa na kupangiliwa kitaalamu inavyotakiwa. Pia kinamwandaa Mwanzafunzi kuingia darasa la tatu
- Umri: 7- 8 (Darasa la Pili)
- Mfululizo: Jifunze Hisabati
- Kurasa: 20
- Mchapati: Nhomile Publications
- Lugha: Kiswahili
Reviews
There are no reviews yet.