Jifunze Hisabati Darasa la Pili

Sh3,000

Na B. D. Buberwa JIFUNZE HISABATI DARASA LA PILI: ni kwa ajili ya kufundisha mwanafunzi wa shule za msingi darasa la Pili.

Kinamsaidia mwanafunzi kufikia malengo ya KUSOMA na KUANDIKA NAMBA pia kuweza kufanya MAHESABU kwa kuzingatia kanuni za KIHESABU.

Kitabu hiki kitamsaidia sana mtoto kuelewa na kupenda somo la HISABATI . Kwani kimetungwa na kupangiliwa kitaalamu inavyotakiwa.

Pia kinamwandaa Mwanzafunzi kuingia darasa la tatu Umri: 7- 8 (Darasa la Pili) Mfululizo: Jifunze Hisabati Kurasa: 20 Mchapati: Nhomile Publications Lugha: Kiswahili

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Jifunze Hisabati Darasa la Pili”

Your email address will not be published. Required fields are marked *