TUREJEE EDENI-PDF
Sh5,000
TUREJEE EDENI-PDF
Kitabu hiki kina umuhimu wa wewe kuwa nacho, kutumia mimea ya asili katika kutibu maradhi ni suala la lazima sana kwa wakati wetu huu.
Kwani dawa za viwandani bei zake ni juu sana hata hivyo upatikanaji wake siyo wa kuaminika mbali na madhara yake baadaye.
Kutumia maua, majani, magome ya miti, mizizi na matunda, katika suala la kutibu maradhi siyo ushenzi au upagani kama wengine wanavyodhani kwani hata dawa za viwandani ni matokeo ya mimea ukiachilia mbali zile za kibaolojia na kemikali.
Kama ilivyo kanuni ya dawa lazima dawa uitengeneze kwa kufuata maelekezo yaliyo ndani ya kitabu hiki maana huo ndio mwongozo wake.
Utumiaji wa mimea katika suala la tiba umethibitishwa na wataalamu wengi duniani siku hizi ukiacha kasumba za watu wenye mawazo ya ukoloni kwamba kutumia dawa za asili au mimea ni ushenzi hayo ni madhara ya kutawaliwa na kumdunisha mwafrika.
Description
KWA SABABU MICHE, MATUNDA NA MBOGA NI DAWA
PATA TIBA KWA KUTUMIA: CHAKULA, MATUNDA, MBOGA, MAJI NA MIMEA ASILIA
Reviews
There are no reviews yet.