TUMWABUDU MUNGU WETU
Sh15,000
Msifuni Mungu, Mfalme wa Mbingu na Nchi
Kitabu hiki hutumika katika ibada takatifu; kanisani na Nyumbani; kwenye ibada za nyumba kwa nyumba, shule ya Jumapili kwa watoto, Kipaimara, UKWATA, Mikutano ya Vijana na Kwenye Mikutano ya mitaa, sharika na popote walipokusanyika wakristo kwa masomo ya Bibilia na mikutano kwa ajili ya kumwabudu Mungu.
NB:
Kurasa: 516
Lugha: Swahili
ISBN 9987-652-08-5
Reviews
There are no reviews yet.