FURAHINI KATIKA BWANA

Sh6,000

FURAHINI KATIKA BWANA: KITABU CHA MWANAFUNZI WA MAFUNDISHO YA KIPA IMARA

Kuna Masomo 65 katika Kitabu Hiki. Katika kila somo utaona mambo haya;

  • Mafundisho au Marudio ya mambo makuu ya somo kwa njia iliyo tofauti
  • Vitendo vya kufanya ili kukupa nafasi kuchunguza zaidi mwenyewe mambo makuu ya somo.
  • Mistari ya kujifunza kwa moyo ili uweze kwa urahisi kujipatia hazina ya ahadi za Mungu moyoni mwako.
  • Picha au michoro na picha kila mara na kufikiri juu ya maana yake na somo lile. Mchoro unasema nini kwako? Unasaidiaje kudhihirisha somo? Je, wewe ungechora picha gani kueleza somo lile?

NB: 


Idadi ya Kurasa: 126
Lagha: Kiswahili
Mchapaji: Acme Press(K), Nairobi Ltd (2006)

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “FURAHINI KATIKA BWANA”

Your email address will not be published. Required fields are marked *