-
NYIMBO ZA SIFA
- Religion, Religious Songs
- Sh16,000
- NYIMBO ZA SIFA: Ni kitabu cha nyimbo za Kikristo. Kitabu hiki kina takribani nyimbo 170, baadhi ya nyimbo zimetolewa kutoka kwenye Vitabu vya TENZI ZA ROHONI na NYIMBO ZA KIKRISTO. Pia kitabu hiki kina nyimbo za Taifa za mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda
- Add to cart
-
TENZI ZA ROHONI (Spiritual Songs)
- Religion, Religious Songs
- Sh5,000
- Mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na TENZI ZA ROHONI; huku mkimbwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu. Wakolosai 3:16 Cover: Yellow Print Length: 61 pages Number of Songs: 161 Publisher: Mennonite church of Tanzania (2018) Language: Swahili and English ISBN 978 998 756 3029
- Add to cart
-
Tuimbe Pamoja
- Religion, Religious Songs
- Sh5,000
- Ni kitabu cha Nyimbo za ibada kwa Wakatoliki. Kitabu hiki kimetumika tangu mwanzo kwa kuwashirikisha waumini kuimba pamoja katika ibada mbalimbali kanisani na kwenye Jumuiya ndogondogo. Toleo hili limetolewa upya kwa KUMBUKUMBU YA MIAKA KUMI ya Parokia ya Mt. Fransiska, kwangulelo, Jimbo kuu la Arusha Kwa Sifa na Utukufu kwa Mungu "TUIMBE PAMOJA"
- Add to cart
-
TUMWABUDU MUNGU WETU
- Religion, Religious Songs
- Sh15,000
- Msifuni Mungu, Mfalme wa Mbingu na Nchi Kitabu hiki hutumika katika ibada takatifu; kanisani na Nyumbani; kwenye ibada za nyumba kwa nyumba, shule ya Jumapili kwa watoto, Kipaimara, UKWATA, Mikutano ya Vijana na Kwenye Mikutano ya mitaa, sharika na popote walipokusanyika wakristo kwa masomo ya Bibilia na mikutano kwa ajili ya kumwabudu Mungu. NB: Kurasa: 516 Lugha: Swahili ISBN 9987-652-08-5
- Add to cart