IMANI YA MTOTO
Sh3,500
By Carsten Hjorth Pedersen
KUNA TOFAUTI GANI KATI YA IMANI YA MTOTO NA IMANI YA MTU MZIMA?
NA HIYO INA MAANA GANI KWA KUWAHUBIRIA NA KUWAFUNDISHA WATOTO?
Kitabu hiki ni kifaa muhimu kwa kila mwenye wajibu wa kumlea mtoto katika imani ya Kikristo. Jifunze mengi kutoka kwa mwandishi mwenye uzoefu mwingi kama mzazi na mwalimu mshauri.
Kuhusu Mwandishi Carsten Hjorth Pedersen alizaliwa mwaka 1955. Ni mwalimu (1980), tena ni mhadhiri wa kwanza wa mambo ya ufundishaji (2006). Amefanya kazi kama mshauri wa ufundishaji katika Taasisi ya Ufundishaji wa Kikristo tangu mwaka 1999. Ameoa na ni baba wa watoto watatu. Mwandishi amesoma vitabu vingi kuhusu mambo ya ufundishaji na imani ya kikristo. Kwa bahati mbaya kwa wasomaji wa kiswahili, vitabu vile vitatu ambavyo ameviondoa katika kitabu hiki ni vya lugha za Skandinavia
Product Details
- Cover: blue
- Material: Hard cover
- Print Length: 47 pages
- Publisher: SOMA BIBLIA (2016 Swahili Edition)
- Language: Swahili
- ISBN: 978 9987 639 47 2
Reviews
There are no reviews yet.