TEMBEA NA KRISTO
Sh7,000
Muhtasari wa mafundisho ya Kipaimara
KITABU CHA MWANAFUNZI
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
Yaliyomo katika kitabu hiki yameandaliwa baada ya utafiti na hekima nzuri kwa manufaa ya kila mwanafunzi. Yanakusudia kumsaidai mwanafunzi wa kipaimara kumfahamu Mungu Baba na Mwana na Roho Mtakatifu aliye sauti ya vitu vyote, mtunzaji, Mwokozi na kiongozi wa kila siku wa mwanadamu. Wanafunzi watafahamu kuwa Yesu ni Mwokozi wa watu wote wamjiao na Roho Mtakatifu ndiye atuongozaye na kutupa ushindi maishani. Mafundisho ya muhtasari wa kitabu hiki yakipokelewa rohoni yataleta ujuzi wa mapenzi ya Mungu kwa mwnafunzi na kujenga imara imani yake inayomletea matumaini ya wokovu.
Product Details
- Cover: Yellow
- Print Length: 158 pages
- Publisher: Moshi Lutheran Printing Press
- Language: Swahili
- ISBN 9987-652-03-4
Description
TEMBEA NA KRISTO
Kimetolewa na Idara ya Misioni na Uinjilisti,
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
S.L.P 3033, Arusha , Tanzania
Reviews
There are no reviews yet.