JUMUIYA NDOGONDOGO ZA KIKRISTO
Sh6,000
Kitabu hiki kina maelezo mafupi ya kuishi na kuimarisha Jumuiya Ndogo Ndogo za Kikristo, pamoja na ibada mbalimbali za Jumuiya.
Kitabu hiki kinaeleza mambo mbali mbali ya kutusaidia kuishi katika Jumuiya ili tuziimarishe daima. Tutambue wazi kuwa Uinjilishaji wa kina unadai daima tuishi na tuimarishe Jumuiya Ndogo Ndogo za Kikristo
Kimeandikwa na Padre. Leodegard Massawe
Reviews
There are no reviews yet.