Mwongozo mdogo wa Biblia
Sh2,000
- Je, wapendelea mashairi au masimulizi ya kusisimua
- Je, wavutiwa na mambo ya kutafakari au watafuta msaada wa namna ya kuishi?
- Waonaje ukisoma juu ya maisha ya ndani zaidi ya watu wakuu na pengine hata kukutana na Muumba mwenyewe?
Mambo haya yote unayakuta katika Biblia, na mwongozo huu mdogo utakusaidia kuielewa Biblia.
Product Details
- Print Length: 60 pages
- Published in Tanzania by: Soma Biblia
- Language: Swahili
- ISBN 978 9987 639 13 7
Reviews
There are no reviews yet.