JIFUNZE HISABATI
Sh3,000
Na B. D. Buberwa
Jifunze Hisabati kwa shule za awali na Darasa la kwanza: ni kwa ajili ya kufundisha mwanafunzi wa shule za msingi darasa la kwanza.
Kinamsaidia mwanafunzi kufikia malengo ya KUSOMA na KUANDIKA NAMBA pia kuweza kufanya MAHESABU kwa kuzingatia kanuni za KIHESABU.
Kitabu hiki kitamsaidia sana mtoto kuelewa na kupenda somo la HISABATI . Kwani kimetungwa na kupangiliwa kitaalamu inavyotakiwa.
- Umri: 5- 7 (Darasa la kwanza na Madarasa ya awali)
- Mfululizo: Jifunze Hisabati
- Kurasa: 20
- Mchapati: Nhomile Publications
- Lugha: Kiswahili
Reviews
There are no reviews yet.