MAJIBU KWA NDOA YAKO
Sh15,000
Mwandishi: Bruce na Carol Britten
KITABU KWA AJILI YA WALIOOA NA KUOLEWA
- Ndoa yangu ni baridi na ya upweke
- mume wangu hushindwa kunisisimua kimapenzi
- Nina mapenzi na mwanamume aliyeoa
- Mke wangu hashiki mimba
- Tunao wasichana wanne, sasa tunataka mvulana.
- Ninawezaje kuepuka ukimwi
- Mume wangu hunipiga
- Nilimfumania mume wangu kitandani na msichana
- Bado mke wangu anampenda rafiki yake mvulana wa zamani
- Mume wangu ana shauku kubwa ya mapenzi
- Ninawezaje kumtosheleza mke wangu?
Kitabu hiki kinajibu maswali haya yote na mengine mengi pia!
Product Details
- Cover Material: Hard cover
- Print Length: 192 pages
- Publisher: Printwell International Pvt Ltd
- Language: Swahili
- ISBN: 9976 948 18 2
Ibrahimu Ibrahimu Mukome –
nakihitaji kitabu hicho.
mimi niko mkoa wa Mara wilaya ya Bunda
Edward Sandet –
Ibrahim Nitumie namba yako, nifanye utaratibu wa kukutumia baada ya kulipia. Namba yangu ni 0784 675 425