TIBA NA KINGA KWA MAGONJWA YA KUKU

Sh5,000

TIBA NA KINGA KWA MAGONJWA YA KUKU

KWA KUTUMIA NJIA ZA ASILI JIFUNZE MBINU ZA UFUGAJI BORA WA KUKU WA KIENYEJI Na Karim Abdallah na Veronica Jerome
Kwa miaka nenda rudi watu wengi wamekuwa na desturi ya kufuga kuku. Lakini pamoja kunafanya shughuli hii kuna baadhi yao wamekuwa na ukakasi katika kuyaelewa magonjwa ya kuku. Aidha wamekuwa wakipata shida katika kuwatibia kuku wanapopoatwa na Maradhi,
Kutoka pengine na kutokuwa na uelewa wa kutosha kuhusu tiba za Kuku.
Kuna baadhi wamekuwa wakizifahamu tiba za kisasa ambazo hupatikana kwenye vituo vinavyouza dawa ya mifugo hivyo huweza kusaidia kuwatibu kuku.
Kitabu hiki kinaelezea tiba za asili zinazoweza kutumika wakati kuku wanaposhambuliwa na maradhi mbalimbali mahala ambapo hakuna madaktari wa Mifugo

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “TIBA NA KINGA KWA MAGONJWA YA KUKU”

Your email address will not be published. Required fields are marked *