Tuimbe Pamoja
Sh5,000
Ni kitabu cha Nyimbo za ibada kwa Wakatoliki. Kitabu hiki kimetumika tangu mwanzo kwa kuwashirikisha waumini kuimba pamoja katika ibada mbalimbali kanisani na kwenye Jumuiya ndogondogo.
Toleo hili limetolewa upya kwa KUMBUKUMBU YA MIAKA KUMI ya Parokia ya Mt. Fransiska, kwangulelo, Jimbo kuu la Arusha Kwa Sifa na Utukufu kwa Mungu “TUIMBE PAMOJA”
Reviews
There are no reviews yet.