BIBLIA YANGU YA KWANZA (My First Handy Bible)
Sh20,000
BIBLIA YANGU YA KWANZA (My First Handy Bible) Masimulizi ya Kale ya Biblia kwa ajili ya Watoto
Sasa watoto wadogo wanaweza kuwa na Biblia yao wenyewe. Watafurahia kubeba Biblia yao hii yenye ufafanuzi mzuri na masimulizi yaliyo katika sentesi fupi na rahisi. Humu yanapatikana masimulizi muhimu ya Biblia kuanzia kitabu cha Mwanzo hadi Ufunuo. kwa ajili ya watoto wadogo chini ya Miaka mitatu.
Product Details
- Cover: Green
- Print Length: 61 pages
- Publisher: The Bible Society of Tanzania (2003)
- Language: Swahili and English
- ISBN 978-9987-664-62-7
Reviews
There are no reviews yet.