Jinsi ya Kuongeza Mauzo ya Biashara Yako Kupitia WhatsApp PDF
Sh5,000
Jinsi ya Kuongeza Mauzo ya Biashara Yako Kupitia WhatsApp PDF
Unatumia WhatsApp kila siku kwa mawasiliano, lakini je, unajua unaweza kuitumia kama nyenzo ya kuongeza mauzo na kukuza biashara yako haraka kuliko ulivyowahi kufikiria?
Kitabu hiki ni mwongozo kamili kwa wafanyabiashara wa kisasa wanaotaka kutumia WhatsApp kwa njia ya kitaalamu, ya kuvutia, na yenye matokeo ya moja kwa moja. Ndani ya kurasa hizi utajifunza:
✅ Jinsi ya kuandaa WhatsApp yako vyema ili kuvutia wateja
✅ Mbinu bora za kutangaza bidhaa zako bila kuwasumbua watu
✅ Siri ya kutengeneza status zinazouza bidhaa kila siku
✅ Namna ya kujibu maswali ya wateja kwa njia itakayowanya kununua
✅ Mikakati ya kushughulikia vikwazo na kugeuza mazungumzo kuwa mauzo
✅ Njia ya kugeuza wanunuzi wa kawaida kuwa wateja wa kudumu
Description
Kitabu hiki kimeandikwa kwa Kiswahili fasaha, kwa mfano halisi, hatua kwa hatua, na lugha rahisi kueleweka. Kama wewe ni mfanyabiashara wa bidhaa au huduma, muuzaji mtandaoni, au unataka tu kuongeza kipato kwa kutumia simu yako — kitabu hiki ni silaha yako mpya ya mafanikio.
Ukiwa na kitabu hiki, WhatsApp haitakuwa tu chombo cha kupiga stori, bali itakuwa duka lako lenye nguvu ya kuuza saa 24.
👉 Usikose fursa hii. Anza leo kubadili mawasiliano yako ya kila siku kuwa pesa halisi!
Reviews
There are no reviews yet.