UMEZALIWA KUFANIKIWA

Sh10,000

UMEZALIWA KUFANIKIWA Na JOHN STEPHEN
Sayansi ya Mafanikio inathibitisha kuwa kila mtu mwenye uhai duniani ana haki na nyenzo zote za kufanikisha malengo yake makubwa, mahali popote alipo na kwa wakati wowote kama akiamua.
Watu wengi wasiofanikiwa huwa wanafikiri kuwa wao hawana haki yakufanikiwa, ila ukweli ni kuwa hakuna mtu aliyeumbwa ili asifanikiwe na ndio maana kila mtu ana uwezo wa kipekee kabisa ambao ndio nyenzo ya mtu kufikia mafanikio yake makubwa.
Swala kubwa huwa linabaki katika matumizi ya uwezo, nafasi na muda ambao mtu amepewa.
Katika kitabu hiki utajifunza mambo kadhaa ikiwemo:
Kwanini ni haki Yako kufanikiwa?
Sheria, Tabi na mbinu ziletazo Mafanikio.
Namna bora ya kuanzisha na kukuza biashara kwa mafanikio.
Njia za kukabiliana na vikwazo vinavyokuzuia kufanikiwa.
Falsafa na Hekima zitakzokufanya ufanikiwe kwa haraka zaidi n.k
Leo ukijaribu kujichunguza vizuri utagundua kuwa unasababu zote za kufanikiwa kwa namna yako ya kipekee sana na kama bado hujafanikiwa ni kwasababu bado hujatumia uwezo wako na rasilimali ambazo ziko kwako peke yako.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “UMEZALIWA KUFANIKIWA”

Your email address will not be published. Required fields are marked *