JUMUIYA NDOGONDOGO ZA KIKRISTO
Sh6,000
Na Padre. Leodegard Massawe
JUMUIYA NDOGONDOGO ZA KIKRISTO: Kitabu hiki kina maelezo mafupi ya kuishi na kuimarisha Jumuiya Ndogo Ndogo za Kikristo, pamoja na ibada mbalimbali za Jumuiya.
Kitabu hiki kinaeleza mambo mbalimbali ya kutusaidia kuishi katika Jumuiya ili tuziimarishe daima. Tutambue wazi kuwa Unjilishaji wa kina unadai daima tuishi na tuimarishe jumuiya Ndogo ndogo za Kikristo.
Reviews
There are no reviews yet.