• BIBLIA YANGU YA KWANZA (My First Handy Bible) Quick View
    • BIBLIA YANGU YA KWANZA (My First Handy Bible) Quick View
    • BIBLIA YANGU YA KWANZA (My First Handy Bible)

    • ,
    • Sh20,000
    • BIBLIA YANGU YA KWANZA (My First Handy Bible) Masimulizi ya Kale ya Biblia kwa ajili ya Watoto Sasa watoto wadogo wanaweza kuwa na Biblia yao wenyewe. Watafurahia kubeba Biblia yao hii yenye ufafanuzi mzuri na masimulizi yaliyo katika sentesi fupi na rahisi. Humu yanapatikana masimulizi muhimu ya Biblia kuanzia kitabu cha Mwanzo hadi Ufunuo. kwa ajili ya watoto wadogo chini…
    • Add to cart
  • FURAHINI KATIKA BWANA Quick View
    • FURAHINI KATIKA BWANA Quick View
    • FURAHINI KATIKA BWANA

    • ,
    • Sh6,000
    • FURAHINI KATIKA BWANA: KITABU CHA MWANAFUNZI WA MAFUNDISHO YA KIPA IMARA Kuna Masomo 65 katika Kitabu Hiki. Katika kila somo utaona mambo haya; Mafundisho au Marudio ya mambo makuu ya somo kwa njia iliyo tofauti Vitendo vya kufanya ili kukupa nafasi kuchunguza zaidi mwenyewe mambo makuu ya somo. Mistari ya kujifunza kwa moyo ili uweze kwa urahisi kujipatia hazina ya…
    • Add to cart
  • IMANI YA MTOTO Quick View
    • IMANI YA MTOTO Quick View
    • IMANI YA MTOTO

    • ,
    • Sh3,500
    • By Carsten Hjorth Pedersen KUNA TOFAUTI GANI KATI YA IMANI YA MTOTO NA IMANI YA MTU MZIMA? NA HIYO INA MAANA GANI KWA KUWAHUBIRIA NA KUWAFUNDISHA WATOTO? Kitabu hiki ni kifaa muhimu kwa kila mwenye wajibu wa kumlea mtoto katika imani ya Kikristo. Jifunze mengi kutoka kwa mwandishi mwenye uzoefu mwingi kama mzazi na mwalimu mshauri. Kuhusu Mwandishi Carsten Hjorth Pedersen…
    • Add to cart
  • KATEKISIMU KATOLIKI Quick View
    • KATEKISIMU KATOLIKI Quick View
    • KATEKISIMU KATOLIKI

    • ,
    • Sh3,000
    • Kwa wanaoandaliwa kwa Komunyo ya Kwanza, Kipaimara na Kupokewa katika Kanisa Katoliki Product Details Cover: Red/White Material: Hard cover Print Length: 126 pages Publisher: Claretian Publications, Tanzania (2013) Language: Swahili ISBN: 978-9987-9444-1-5 Student Edition with Additional Notes
    • Add to cart
  • TEMBEA NA KRISTO Quick View
    • TEMBEA NA KRISTO Quick View
    • TEMBEA NA KRISTO

    • ,
    • Sh7,000
    • TEMBEA NA KRISTO: KITABU CHA MWANAFUNZI chenye Muhtasari wa mafundisho ya Kipaimara. Kilichoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania. Yaliyomo katika kitabu hiki yameandaliwa baada ya utafiti na hekima nzuri kwa manufaa ya kila mwanafunzi. Yanakusudia kumsaidai mwanafunzi wa kipaimara kumfahamu Mungu Baba na Mwana na Roho Mtakatifu aliye sauti ya vitu vyote, mtunzaji, Mwokozi na kiongozi wa kila…
    • Add to cart