• MWONGOZO MDOGO WA BIBLIA Quick View
    • MWONGOZO MDOGO WA BIBLIA Quick View
    • MWONGOZO MDOGO WA BIBLIA

    • Sh2,000
    • Rated 0 out of 5
    • MWONGOZO MDOGO WA BIBLIA Je, wapendelea mashairi au masimulizi ya kusisimua? Je, wavutiwa na mambo ya kutafakari au watafuta msaada wa namna ya kuishi? Waonaje ukisoma juu ya maisha ya ndani zaidi ya watu wakuu na pengine hata kukutana na Muumba mwenyewe? Mambo haya yote unayakuta katika Biblia, na mwongozo huu mdogo utakusaidia kuielewa Biblia. Product Details Print Length: 60…
    • Add to cart
  • NYIMBO ZA SIFA Quick View
    • NYIMBO ZA SIFA Quick View
    • NYIMBO ZA SIFA

    • ,
    • Sh16,000
    • Rated 0 out of 5
    • NYIMBO ZA SIFA: Ni kitabu cha nyimbo za Kikristo. Kitabu hiki kina takribani nyimbo 170, baadhi ya nyimbo zimetolewa kutoka kwenye Vitabu vya TENZI ZA ROHONI na NYIMBO ZA KIKRISTO. Pia kitabu hiki kina nyimbo za Taifa za mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda
    • Add to cart
  • Swahili Missionary Bible with Soft Cover (UV040) Quick View
  • Swahili Missionary Bible Zip Cover (UV040ZP) Quick View
  • Swahili Pouch/Wallet Bible Trim line (UVTRZTIB) Quick View
  • TEMBEA NA KRISTO Quick View
    • TEMBEA NA KRISTO Quick View
    • TEMBEA NA KRISTO

    • ,
    • Sh7,000
    • Rated 0 out of 5
    • TEMBEA NA KRISTO: KITABU CHA MWANAFUNZI chenye Muhtasari wa mafundisho ya Kipaimara. Kilichoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania. Yaliyomo katika kitabu hiki yameandaliwa baada ya utafiti na hekima nzuri kwa manufaa ya kila mwanafunzi. Yanakusudia kumsaidai mwanafunzi wa kipaimara kumfahamu Mungu Baba na Mwana na Roho Mtakatifu aliye sauti ya vitu vyote, mtunzaji, Mwokozi na kiongozi wa kila…
    • Add to cart
  • TENZI ZA ROHONI (Spiritual Songs) Quick View
    • TENZI ZA ROHONI (Spiritual Songs) Quick View
    • TENZI ZA ROHONI (Spiritual Songs)

    • ,
    • Sh5,000
    • Rated 0 out of 5
    • Mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na TENZI ZA ROHONI; huku mkimbwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu. Wakolosai 3:16 Cover: Yellow Print Length: 61 pages Number of Songs: 161 Publisher: Mennonite church of Tanzania (2018) Language: Swahili and English ISBN 978 998 756 3029
    • Add to cart
  • Tuimbe Pamoja Quick View
    • Tuimbe Pamoja Quick View
    • Tuimbe Pamoja

    • ,
    • Sh5,000
    • Rated 0 out of 5
    • Ni kitabu cha Nyimbo za ibada kwa Wakatoliki. Kitabu hiki kimetumika tangu mwanzo kwa kuwashirikisha waumini kuimba pamoja katika ibada mbalimbali kanisani na kwenye Jumuiya ndogondogo. Toleo hili limetolewa upya kwa KUMBUKUMBU YA MIAKA KUMI ya Parokia ya Mt. Fransiska, kwangulelo, Jimbo kuu la Arusha Kwa Sifa na Utukufu kwa Mungu "TUIMBE PAMOJA"
    • Add to cart
  • TUMWABUDU MUNGU WETU Quick View
    • TUMWABUDU MUNGU WETU Quick View
    • TUMWABUDU MUNGU WETU

    • ,
    • Sh15,000
    • Rated 0 out of 5
    • Msifuni Mungu, Mfalme wa Mbingu na Nchi Kitabu hiki hutumika katika ibada takatifu; kanisani na Nyumbani; kwenye ibada za nyumba kwa nyumba, shule ya Jumapili kwa watoto, Kipaimara, UKWATA, Mikutano ya Vijana na Kwenye Mikutano ya mitaa, sharika na popote walipokusanyika wakristo kwa masomo ya Bibilia na mikutano kwa ajili ya kumwabudu Mungu.  NB: Kurasa: 516 Lugha: Swahili ISBN 9987-652-08-5
    • Add to cart