Religion | Bible | Children Bible | Songs books of the bible | Catechism

  • BIBLIA HABARI NJEMA KWA WATU WOTE YENYE VITABU VYA DEUTEROKANOMI Quick View
    • BIBLIA HABARI NJEMA KWA WATU WOTE YENYE VITABU VYA DEUTEROKANOMI Quick View
    • BIBLIA HABARI NJEMA KWA WATU WOTE YENYE VITABU VYA DEUTEROKANOMI

    • Sh20,000
    • BIBLIA HABARI NJEMA KWA WATU WOTE (CLDC032P-RC) The bible with the Deuterocanonical books in current Swahili. An interconfessional Translation published as BIBLIA Yenye Vitabu Vya Vya Deuterokanomi. HABARI NJEMA .Tafsiri ya Ushirikiano wa Makanisa. Product Details Cover: Maroon Print Length: 332 pages Publisher: The Bible Society of Tanzania and The Bible Society of Kenya (2016) Language: Swahili ISBN 978-9966-27-624-7 CLDC032P…
    • Add to cart
  • BIBLIA MAANDIKO MATAKATIFU (Swahili Bible-UV052) Quick View
  • Biblia Ndogo ya Ngozi Yenye Zipu  (Pocket Bible) (UV027ZTIG) Quick View
  • BIBLIA TAKATIFU (UVDC052IR) Quick View
    • BIBLIA TAKATIFU (UVDC052IR) Quick View
    • BIBLIA TAKATIFU (UVDC052IR)

    • Sh30,000
    • BIBLIA TAKATIFU (UVDC052IR):Tafsiri hii ya Biblia ya Kiswahili ni ile iliyotolewa na Tabora: T.M.P Book Department, 1967, Tanzania. Toleo hili la Biblia Takatifu limetayarishwa na: Familia ya Maamkio Mapanda Parokia ya Usokami, S.L.P 796 IRINGA TANZANIA Imetolewa na Jimbo la Bologna, kwa niaba ya Baraza la Maaskofu Tanzania. Product Details Cover: Maroon Material: Hard cover Print Length: 2155 pages Publisher:…
    • Add to cart
  • BIBLIA YANGU YA KWANZA (My First Handy Bible) Quick View
    • BIBLIA YANGU YA KWANZA (My First Handy Bible) Quick View
    • BIBLIA YANGU YA KWANZA (My First Handy Bible)

    • ,
    • Sh20,000
    • BIBLIA YANGU YA KWANZA (My First Handy Bible) Masimulizi ya Kale ya Biblia kwa ajili ya Watoto Sasa watoto wadogo wanaweza kuwa na Biblia yao wenyewe. Watafurahia kubeba Biblia yao hii yenye ufafanuzi mzuri na masimulizi yaliyo katika sentesi fupi na rahisi. Humu yanapatikana masimulizi muhimu ya Biblia kuanzia kitabu cha Mwanzo hadi Ufunuo. kwa ajili ya watoto wadogo chini…
    • Add to cart
  • BIBLIA-The Holy Bible in Swahili Quick View
    • BIBLIA-The Holy Bible in Swahili Quick View
    • BIBLIA-The Holy Bible in Swahili

    • Sh20,000
    • Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo BIBLIA Yaani Agano la Kale Na Agano Jipya. Product details Cover: Black Print Length: 273 pages Publisher:The Bible Society of Tanzania and The Bible Society of Kenya (2018) Language: Swahili ISBN 978-9966-40-529-6 UV032
    • Add to cart
  • BIBLIA-The Holy Bible in Swahili (UV032MCR) Quick View
    • BIBLIA-The Holy Bible in Swahili (UV032MCR) Quick View
    • BIBLIA-The Holy Bible in Swahili (UV032MCR)

    • Sh30,000
    • BIBLIA-The Holy Bible in Swahili Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo BIBLIA Yaani Agano la Kale Na Agano Jipya. Katika kitabu hiki, neno la BWANA, au MUNGU, lionekanapo kuandikwa hivi kwa herufi kubwa, ni kuonyesha hilo JINA lililotakatifu sana la Mwenyezi Mungu yaani YEHOVA, walilolitumia Wayahudi, kwa lugha ya Kiebrania Product Details Cover: Black Print Length: 1490 pages Publisher:The Bible Society…
    • Add to cart
  • FURAHINI KATIKA BWANA Quick View
    • FURAHINI KATIKA BWANA Quick View
    • FURAHINI KATIKA BWANA

    • ,
    • Sh6,000
    • FURAHINI KATIKA BWANA: KITABU CHA MWANAFUNZI WA MAFUNDISHO YA KIPA IMARA Kuna Masomo 65 katika Kitabu Hiki. Katika kila somo utaona mambo haya; Mafundisho au Marudio ya mambo makuu ya somo kwa njia iliyo tofauti Vitendo vya kufanya ili kukupa nafasi kuchunguza zaidi mwenyewe mambo makuu ya somo. Mistari ya kujifunza kwa moyo ili uweze kwa urahisi kujipatia hazina ya…
    • Add to cart
  • HOLY BIBLE; REVISED STANDARD VERSION Quick View
    • HOLY BIBLE; REVISED STANDARD VERSION Quick View
    • HOLY BIBLE; REVISED STANDARD VERSION

    • Sh15,000
    • HOLY BIBLE containing THE OLD AND NEW TESTAMENTS Revised Standard Version Across the world, millions of people are not engaging with Bible. This is often because the Scriptures aren't available or accessible, or because their significance and value haven't yet been recognized. Working in over 200 countries, Bible Society is a charity and on a global mission to offer the Bible to every…
    • Add to cart
  • IMANI YA MTOTO Quick View
    • IMANI YA MTOTO Quick View
    • IMANI YA MTOTO

    • ,
    • Sh3,500
    • By Carsten Hjorth Pedersen KUNA TOFAUTI GANI KATI YA IMANI YA MTOTO NA IMANI YA MTU MZIMA? NA HIYO INA MAANA GANI KWA KUWAHUBIRIA NA KUWAFUNDISHA WATOTO? Kitabu hiki ni kifaa muhimu kwa kila mwenye wajibu wa kumlea mtoto katika imani ya Kikristo. Jifunze mengi kutoka kwa mwandishi mwenye uzoefu mwingi kama mzazi na mwalimu mshauri. Kuhusu Mwandishi Carsten Hjorth Pedersen…
    • Add to cart
  • JUMUIYA NDOGONDOGO ZA KIKRISTO Quick View
    • JUMUIYA NDOGONDOGO ZA KIKRISTO Quick View
    • JUMUIYA NDOGONDOGO ZA KIKRISTO

    • Sh6,000
    • Na Padre. Leodegard Massawe JUMUIYA NDOGONDOGO ZA KIKRISTO: Kitabu hiki kina maelezo mafupi ya kuishi na kuimarisha Jumuiya Ndogo Ndogo za Kikristo, pamoja na ibada mbalimbali za Jumuiya.  Kitabu hiki kinaeleza mambo mbalimbali ya kutusaidia kuishi katika Jumuiya ili tuziimarishe daima. Tutambue wazi kuwa Unjilishaji wa kina unadai daima tuishi na tuimarishe jumuiya Ndogo ndogo za Kikristo.
    • Add to cart
  • KATEKISIMU KATOLIKI Quick View
    • KATEKISIMU KATOLIKI Quick View
    • KATEKISIMU KATOLIKI

    • ,
    • Sh3,000
    • Kwa wanaoandaliwa kwa Komunyo ya Kwanza, Kipaimara na Kupokewa katika Kanisa Katoliki Product Details Cover: Red/White Material: Hard cover Print Length: 126 pages Publisher: Claretian Publications, Tanzania (2013) Language: Swahili ISBN: 978-9987-9444-1-5 Student Edition with Additional Notes
    • Add to cart
  • MWONGOZO MDOGO WA BIBLIA Quick View
    • MWONGOZO MDOGO WA BIBLIA Quick View
    • MWONGOZO MDOGO WA BIBLIA

    • Sh2,000
    • MWONGOZO MDOGO WA BIBLIA Je, wapendelea mashairi au masimulizi ya kusisimua? Je, wavutiwa na mambo ya kutafakari au watafuta msaada wa namna ya kuishi? Waonaje ukisoma juu ya maisha ya ndani zaidi ya watu wakuu na pengine hata kukutana na Muumba mwenyewe? Mambo haya yote unayakuta katika Biblia, na mwongozo huu mdogo utakusaidia kuielewa Biblia. Product Details Print Length: 60…
    • Add to cart
  • NYIMBO ZA SIFA Quick View
    • NYIMBO ZA SIFA Quick View
    • NYIMBO ZA SIFA

    • ,
    • Sh16,000
    • NYIMBO ZA SIFA: Ni kitabu cha nyimbo za Kikristo. Kitabu hiki kina takribani nyimbo 170, baadhi ya nyimbo zimetolewa kutoka kwenye Vitabu vya TENZI ZA ROHONI na NYIMBO ZA KIKRISTO. Pia kitabu hiki kina nyimbo za Taifa za mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda
    • Add to cart
  • Swahili Missionary Bible with Soft Cover (UV040) Quick View
  • Swahili Missionary Bible Zip Cover (UV040ZP) Quick View
  • Swahili Pouch/Wallet Bible Trim line (UVTRZTIB) Quick View
  • TEMBEA NA KRISTO Quick View
    • TEMBEA NA KRISTO Quick View
    • TEMBEA NA KRISTO

    • ,
    • Sh7,000
    • TEMBEA NA KRISTO: KITABU CHA MWANAFUNZI chenye Muhtasari wa mafundisho ya Kipaimara. Kilichoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania. Yaliyomo katika kitabu hiki yameandaliwa baada ya utafiti na hekima nzuri kwa manufaa ya kila mwanafunzi. Yanakusudia kumsaidai mwanafunzi wa kipaimara kumfahamu Mungu Baba na Mwana na Roho Mtakatifu aliye sauti ya vitu vyote, mtunzaji, Mwokozi na kiongozi wa kila…
    • Add to cart
  • TENZI ZA ROHONI (Spiritual Songs) Quick View
  • Tuimbe Pamoja Quick View
    • Tuimbe Pamoja Quick View
    • Tuimbe Pamoja

    • ,
    • Sh5,000
    • Ni kitabu cha Nyimbo za ibada kwa Wakatoliki. Kitabu hiki kimetumika tangu mwanzo kwa kuwashirikisha waumini kuimba pamoja katika ibada mbalimbali kanisani na kwenye Jumuiya ndogondogo. Toleo hili limetolewa upya kwa KUMBUKUMBU YA MIAKA KUMI ya Parokia ya Mt. Fransiska, kwangulelo, Jimbo kuu la Arusha Kwa Sifa na Utukufu kwa Mungu "TUIMBE PAMOJA"
    • Add to cart
  • TUMWABUDU MUNGU WETU Quick View
    • TUMWABUDU MUNGU WETU Quick View
    • TUMWABUDU MUNGU WETU

    • ,
    • Sh15,000
    • Msifuni Mungu, Mfalme wa Mbingu na Nchi Kitabu hiki hutumika katika ibada takatifu; kanisani na Nyumbani; kwenye ibada za nyumba kwa nyumba, shule ya Jumapili kwa watoto, Kipaimara, UKWATA, Mikutano ya Vijana na Kwenye Mikutano ya mitaa, sharika na popote walipokusanyika wakristo kwa masomo ya Bibilia na mikutano kwa ajili ya kumwabudu Mungu.  NB: Kurasa: 516 Lugha: Swahili ISBN 9987-652-08-5
    • Add to cart