JIKUMBUSHE HISABATI SHULE ZA MSINGI DARASA LA 3 & 4

Sh5,000

JIKUMBUSHE HISABATI SHULE ZA MSINGI DARASA LA 3 & 4

KITABU HIKI KINA: MKusanyiko wa maswali zaidi ya 700 ya Hisabati kutoka mitihani ya Taifa ya Darasa la Nne toka mwaka 1999 hadi 2012 pamoja na majibu yaliyoandaliwa kwa ufasaha mkubwa.

Kitabu hiki kimeandaliwa ili kuwasaidia wanafunzi wa Darasa la 3 na 4 kufanya marudio yenye tija kwa urahisi na uhakika zaidi. Ingawa kitabu hiki kimeundwa kutokana na mitihani ya Taifa ya miaka iliyopita, kimeboreshwa na kusahihishwa ili kuhakikisha kuwa maswali hayajirudii katika mitihani tofauti na kuwa yanazingatia muhtasari wa sasa wa somo la Hisabati

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “JIKUMBUSHE HISABATI SHULE ZA MSINGI DARASA LA 3 & 4”

Your email address will not be published. Required fields are marked *