JIKUMBUSHE HISABATI SHULE ZA MSINGI DARASA LA 5, 6 & 7

Sh7,000

JIKUMBUSHE HISABATI SHULE ZA MSINGI DARASA LA 5, 6 & 7

KITABU HIKI KINA: MKusanyiko wa maswali zaidi ya 550 ya Hisabati kutoka mitihani ya Taifa ya Darasa la Saba toka mwaka 1999 hadi 2010 pamoja na majibu yaliyoandaliwa kwa ufasaha mkubwa.

Mazoezi ni sehemu muhimu katika kujifunza. Iwe katika elimu, michezo na hata ufundi, tunahitaji kufanya mazoezi ili kujipa uwezo wa kuelewa na kufanya vizuri zaidi. Pia kwa kupitia mazoezi tunaimarisha kumbukumbu zetu juu ya yale tunayojifunza pamoja na kupata mbinu bora zaidi katika kukabiliana na changamoto za masomo na mitihani. Mwanafunzi atakayefanya mazoezi ya kitabu hiki atajihakikishia kufaulu vizuri katika mitihani yake ikiwa ni pamoja na ule wa kumaliza darasa la saba

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “JIKUMBUSHE HISABATI SHULE ZA MSINGI DARASA LA 5, 6 & 7”

Your email address will not be published. Required fields are marked *