Tuimbe Pamoja

Sh5,000

Ni kitabu cha Nyimbo za ibada kwa Wakatoliki. Kitabu hiki kimetumika tangu mwanzo kwa kuwashirikisha waumini kuimba pamoja katika ibada mbalimbali kanisani na kwenye Jumuiya ndogondogo.

Toleo hili limetolewa upya kwa KUMBUKUMBU YA MIAKA KUMI ya Parokia ya Mt. Fransiska, kwangulelo, Jimbo kuu la Arusha Kwa Sifa na Utukufu kwa Mungu “TUIMBE PAMOJA”

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Tuimbe Pamoja”

Your email address will not be published. Required fields are marked *