• IMANI YA MTOTO Quick View
    • IMANI YA MTOTO Quick View
    • IMANI YA MTOTO

    • ,
    • Sh3,500
    • By Carsten Hjorth Pedersen KUNA TOFAUTI GANI KATI YA IMANI YA MTOTO NA IMANI YA MTU MZIMA? NA HIYO INA MAANA GANI KWA KUWAHUBIRIA NA KUWAFUNDISHA WATOTO? Kitabu hiki ni kifaa muhimu kwa kila mwenye wajibu wa kumlea mtoto katika imani ya Kikristo. Jifunze mengi kutoka kwa mwandishi mwenye uzoefu mwingi kama mzazi na mwalimu mshauri. Kuhusu Mwandishi Carsten Hjorth Pedersen…
    • Add to cart
  • Jifunze Hisabati Darasa la Pili Quick View
    • Jifunze Hisabati Darasa la Pili Quick View
    • Jifunze Hisabati Darasa la Pili

    • Sh3,000
    • Na B. D. Buberwa JIFUNZE HISABATI DARASA LA PILI: ni kwa ajili ya kufundisha mwanafunzi wa shule za msingi darasa la Pili. Kinamsaidia mwanafunzi kufikia malengo ya KUSOMA na KUANDIKA NAMBA pia kuweza kufanya MAHESABU kwa kuzingatia kanuni za KIHESABU. Kitabu hiki kitamsaidia sana mtoto kuelewa na kupenda somo la HISABATI . Kwani kimetungwa na kupangiliwa kitaalamu inavyotakiwa. Pia kinamwandaa…
    • Add to cart
  • JIKUMBUSHE HISABATI SHULE ZA MSINGI DARASA LA 3 & 4 Quick View
    • JIKUMBUSHE HISABATI SHULE ZA MSINGI DARASA LA 3 & 4 Quick View
    • JIKUMBUSHE HISABATI SHULE ZA MSINGI DARASA LA 3 & 4

    • Sh5,000
    • JIKUMBUSHE HISABATI SHULE ZA MSINGI DARASA LA 3 & 4 KITABU HIKI KINA: MKusanyiko wa maswali zaidi ya 700 ya Hisabati kutoka mitihani ya Taifa ya Darasa la Nne toka mwaka 1999 hadi 2012 pamoja na majibu yaliyoandaliwa kwa ufasaha mkubwa. Kitabu hiki kimeandaliwa ili kuwasaidia wanafunzi wa Darasa la 3 na 4 kufanya marudio yenye tija kwa urahisi na…
    • Add to cart
  • JIKUMBUSHE HISABATI SHULE ZA MSINGI DARASA LA 5, 6 & 7 Quick View
    • JIKUMBUSHE HISABATI SHULE ZA MSINGI DARASA LA 5, 6 & 7 Quick View
    • JIKUMBUSHE HISABATI SHULE ZA MSINGI DARASA LA 5, 6 & 7

    • Sh7,000
    • JIKUMBUSHE HISABATI SHULE ZA MSINGI DARASA LA 5, 6 & 7 KITABU HIKI KINA: MKusanyiko wa maswali zaidi ya 550 ya Hisabati kutoka mitihani ya Taifa ya Darasa la Saba toka mwaka 1999 hadi 2010 pamoja na majibu yaliyoandaliwa kwa ufasaha mkubwa. Mazoezi ni sehemu muhimu katika kujifunza. Iwe katika elimu, michezo na hata ufundi, tunahitaji kufanya mazoezi ili kujipa…
    • Add to cart
  • JIZATITI KATIKA HISABATI Quick View
    • JIZATITI KATIKA HISABATI Quick View
    • JIZATITI KATIKA HISABATI

    • Sh15,000
    • NA HAMZA F. NAPUNDA JIZATITI KATIKA HISABATI ni kitabu kilichoandaliwa mahususi kwa wanafunzi wa darasa la V, VI, na VII, pamoja na walimu wanaofundisha madarasa hayo. Aidha, kitabu hiki pia kinafaa sana kwa wazazi na walezi wenye tabia ya kufuatilia na kuwasaidia watoto wao kitaaluma. JIZATITI KATIKA HISABATI Kimetungwa kwa kuzingatia mtaala mpya wa Hisabati Tanzania. Kitabu hiki kimetungwa ili…
    • Add to cart
  • Jizatiti Katika Kiswahili Quick View
    • Jizatiti Katika Kiswahili Quick View
    • Jizatiti Katika Kiswahili

    • Sh15,000
    • JIZATITI KATIKA KSWAHILI Na Hamza F. Napunda JIZATITI KATIKA KISWAHILI: Ni kitabu kilichoandaliwa mahsusi kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la V, VI, na VII, pamoja na walimu wanaofundisha madarasa hayo. Aidha kitabu hiki pia kinafaa sana kwa wazazi na walezi wenye tabia ya kufuatilia na kuwasaidia watoto wao kitaaluma. JIZATITI KATIKA KISWAHILI: Kimetungwa kwa kuzingatia mtaala mpya wa somo…
    • Add to cart
  • JIZATITI KATIKA SAYANSI Quick View
    • JIZATITI KATIKA SAYANSI Quick View
    • JIZATITI KATIKA SAYANSI

    • Sh15,000
    • JIZATITI KATIKA SAYANSI KWA WANAFUNZI WA DARASA LA V, VI NA VII NA HAMZA F. NAPUNDA JIZATITI KATIKA SAYANSI ni kitabu kilichoandaliwa mahususi kwa wanafunzi wa darasa la V, VI, na VII, pamoja na walimu wanaofundisha madarasa hayo. Aidha, kitabu hiki pia kinafaa sana kwa wazazi na walezi wenye tabia ya kufuatilia na kuwasaidia watoto wao kitaaluma. JIZATITI KATIKA SAYANSI…
    • Add to cart
  • JUMUIYA NDOGONDOGO ZA KIKRISTO Quick View
    • JUMUIYA NDOGONDOGO ZA KIKRISTO Quick View
    • JUMUIYA NDOGONDOGO ZA KIKRISTO

    • Sh6,000
    • Na Padre. Leodegard Massawe JUMUIYA NDOGONDOGO ZA KIKRISTO: Kitabu hiki kina maelezo mafupi ya kuishi na kuimarisha Jumuiya Ndogo Ndogo za Kikristo, pamoja na ibada mbalimbali za Jumuiya.  Kitabu hiki kinaeleza mambo mbalimbali ya kutusaidia kuishi katika Jumuiya ili tuziimarishe daima. Tutambue wazi kuwa Unjilishaji wa kina unadai daima tuishi na tuimarishe jumuiya Ndogo ndogo za Kikristo.
    • Add to cart
  • Kangaro 24/6-1M Staples Quick View
  • Kangaro DS 210 Stapler Quick View
    • Kangaro DS 210 Stapler Quick View
    • Kangaro DS 210 Stapler

    • ,
    • Sh12,000
    • Kangaro DS 210 Stapler Features Full strip plastic stapler with quality steel components Quick loading mechanism Rubber base to avoid desk top from scratches Rotating anvil & reload indicator Specifications Staple use :24/6-24/8, 26/6-26/8 Loading Capacity:150 (24/6-24/8), 210 (26/6-26/8) Stapling Capacity: 30/40 Sheets
    • Add to cart
  • Kangaro DS-45NR Stapler Quick View
    • Kangaro DS-45NR Stapler Quick View
    • Kangaro DS-45NR Stapler

    • ,
    • Sh10,000
    • Kangaro DS-45NR Stapler,  30 Sheets Capacity Features Full strip plastic stapler with quality steel components Quick loading mechanism Rubber base to avoid desk top from scratches Rotating anvil & reload indicator Specifications Staple use :24/6-26/6 Loading Capacity:50 Staples (24/6), 100 Staples (26/6) Stapling Capacity:30/ Sheets
    • Add to cart
  • KATEKISIMU KATOLIKI Quick View
    • KATEKISIMU KATOLIKI Quick View
    • KATEKISIMU KATOLIKI

    • ,
    • Sh3,000
    • Kwa wanaoandaliwa kwa Komunyo ya Kwanza, Kipaimara na Kupokewa katika Kanisa Katoliki Product Details Cover: Red/White Material: Hard cover Print Length: 126 pages Publisher: Claretian Publications, Tanzania (2013) Language: Swahili ISBN: 978-9987-9444-1-5 Student Edition with Additional Notes
    • Add to cart